msoroveya
59 views | +0 today
Follow
msoroveya
land surveying as a profession and its importance to the development of TANZANIA.
Curated by Rogers Evarist
Your new post is loading...
Your new post is loading...
Scooped by Rogers Evarist
Scoop.it!

Yes you can find a job in land surveying

Yes you can find a job in land surveying | msoroveya | Scoop.it

Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kama after finishing college education, life litakuwa niaje kitaani..coz ni ukweli usiopingika kwa ma_freshers wale tusiojua diploma cheti kinafananaje mirija yote by that time inakuwa imekata hasa kwa vile wengi wetu bodi ndo'inatuweka mjini kiaina..zile pesa za field work, IT na bumu hiyo haina ubishi..mi sizungumzii hao wengine ila zaidi hapa nitawazungumzia wazehhya wa kusaka nyoka na kushinda juani dizain mijusi flani..masoroveya..!!..

 

Nilikuwa napita-pita mtandaoni day flani nikakutana na ki_link jamaa kaandika kipepa chake eti "land surveying is a dying profession"(cheki profile yangu nimekitupia pande zile na we'ukisome) dah..kiasi flani nikawa kama nataka kukubaliana naye saabu nilikuwa waruwaru but baada ya kutafakari kwa muda hoja za mchizi..nikamuona mduanzi afu snitch coz ye mwenyewe msoroveya sema anatusemea mbaya..niaje??!!..

 

Kuna sababu ka kadhaa zinazonifanya nijikubali kama msoroveya..ujue ni nini..hii nchi yetu bado virgin kabisa..kazi za upimaji huku ndio kama zinaanza vile..nani atabisha.??!.leo TZ viwanja vinapimwa kila kona lakini bado statistica zinaongea ndio kwanza 1% imekamilika vipi hizo 99%..??!!..zinatungoja mi na wewe msoroveya

kwenye construction huko ndo usiseme yani..civil engineer anakusubiria.., bado kuna migodi., ujenzi wa mabarabara, madaraja, viwandani huko kuna kitu wanaita allignment kazi yako msoroveya, kuna kitu inaitwa levelling hiyo kweny viwanja vya ndege, kwenye scheme za umwagiliaji na ujenzi wa maghorofa lazima ikafanyike..nani atafanya.? ni wewe msoroveya..kazi zipo nyingi mpaka basi yani wewe tu..!!..nikisema nizitupie zote hapa itakuwa ni sawa na ku_publish kitabu...we juwa tu kila kitu mtu atakachofanya akahitaji kupima hiyo ni kazi yako.!!...

more...
No comment yet.
Scooped by Rogers Evarist
Scoop.it!

CHUNGA SANA

CHUNGA SANA | msoroveya | Scoop.it

 

Jamini hii surveying sasa inapotupeleka ni kubaya yani kutoka kusaka nyoka cadastral ya Morogoro mpaka uso kwa uso na mitutu ya bunduki..

 

Hii ilitutokea group three kwenye site yetu barabara ya kwenda Dar from chamwino maeneo ya chimwaga Dodoma..gari ya kampuni ya ulinzi 'group four' G4S ilipata "flat tire" wakati ikisindikiza pesa za NMB.

 

Jamaa zilishuka na sub-machine gani za kutosha moja ikiwa na magazine mbili huku ile ya ziada ikiwa imezungushiwa kwa mpira kwenye kitako. Sasa sijapata picha kama wangekuwa wanakimbizwa na majambazi flani si na sie tungekuwa kwenye front line ya mapambano..??!!..au bahati mbaya baada ya ile pancha gari ingepinduka na zile hela zote kwenye gari tungefanyeje na wakati tupo peke yetu eneo la tukio..

 

Afu mie sijaonekana hapo saabu ndo' nlikuwa nafuatilia mpango mzima wa kupiga picha za tukio kama vile hapo unaeza kuona kwenye foreground..kuna msoroveya machumu, mgeni, majid na msolida.

more...
No comment yet.
Scooped by Rogers Evarist
Scoop.it!

Survey Earth in a Day on Solstice Day » Six-West - Land Minerals ...

Survey Earth in a Day on Solstice Day » Six-West - Land Minerals ... | msoroveya | Scoop.it
On the day of the summer solstice, 20 June 2012, geospatial professionals around the world and members of Land Surveyors United (a global support network for land surveyors) will be simultaneously recording survey-grade ...
more...
No comment yet.
Scooped by Rogers Evarist
Scoop.it!

Global Positioning System (GPS)

Global Positioning System (GPS) | msoroveya | Scoop.it
Nowadays, we rarely use paper maps to figure out directions; instead, we punch the destination address into a Global Positioning System (GPS) unit in the car or even our smartphone.
more...
No comment yet.
Scooped by Rogers Evarist
Scoop.it!

Senior Geomatics Analyst - HR GO plc - Westhill and District AB32

Senior Geomatics Analyst - HR GO plc - Westhill and District AB32 | msoroveya | Scoop.it
Forums about hydrography, for hydrographers and related hydrographic survey professionals (Senior Geomatics Analyst - HR GO plc - Westhill and District AB32: as a final deliverable.
more...
No comment yet.
Rescooped by Rogers Evarist from Business Brainpower with the Human Touch
Scoop.it!

55 Ways to Be a Better Manager

55 Ways to Be a Better Manager | msoroveya | Scoop.it

Sometimes, the most useful advice is the advice that you can tape above your desk, in order to have a daily reminder. Here are more than 50 thought-provoking questions, statements and truisms in the categories that most managers encounter daily. So print them out, tape them up and prepare to see inspiration in front of you every day.


Via The Learning Factor
more...
The Learning Factor's curator insight, November 3, 2013 3:58 PM

Here are 55 quick and easy ways to take your leadership skills to the next level. Let them inspire you, and you'll soon be more productive than ever.

Scooped by Rogers Evarist
Scoop.it!

Navigation: Principles of Positioning and Guidance: B. Hofmann-Wellenhof, K. Legat, M. Wieser, H. Lichtenegger: Amazon.com: Kindle Store

Navigation: Principles of Positioning and Guidance: B. Hofmann-Wellenhof, K. Legat, M. Wieser, H. Lichtenegger: Amazon.com: Kindle Store | msoroveya | Scoop.it
Navigation: Principles of Positioning and Guidance: B. Hofmann-Wellenhof, K. Legat, M. Wieser, H.
more...
No comment yet.
Scooped by Rogers Evarist
Scoop.it!

Gps Land Surveys | Consumer Electronics

Gps Land Surveys | Consumer Electronics | msoroveya | Scoop.it
GPS land surveying is a scientific method of determining, analyzing as well as evaluating the terrestrial or 3D space position of points and the distances with angles between them. It offers the advantages of higher accuracy of ...
more...
No comment yet.
Scooped by Rogers Evarist
Scoop.it!

Geomatics - Geography Unleashed

"Geomatics - Geography Unleashed" aims to educate all ages with regards to how Geography via computing mediums impacts our lives The ever increasing demand f...
more...
No comment yet.